Search

27 results for Gadi Solomon :

  1. Wanne familia moja wafariki dunia, madaraja yakatika

    Tukio hilo lililitokea juzi asubuhi ambapo Lidya Heza (21), Agnes Eliya (20), Stella Rujukundi (20) na Joyce Rujukundi (12), walifariki dunia huku wengine saba wakinusurika katika tukio hilo.

    New Content Item (1)
  2. Wananchi wasota saa 15 kukatika daraja Tambani, Waziri Ulega aahidi daraja la muda 

    "Ninawapa pole wananchi waliokumbwa na kadhia na hadi kufikia saa 10 jioni leo Jumamosi ninaamini mawasiliano yatarejea," amesema.

  3. Tanzania kushawishi CAF Kiswahili kitumike mashindano ya Afcon

    Serikali imesema inakuja kivingine katika kuhakikisha inawafikia wazungumzaji takribani milioni 500 wa Kiswahili duniani kuanzia sasa ikiwa ni pamoja na kupanua ajira za Kiswahili kwa watumiaji...

  4. Dk Ndumbaro azitabiria Simba, Yanga kukutana CAFCL

    Amesema iwapo tu timu hizo zikifanikiwa katika mashindano ya mwaka huu kufika hatua ya robo fainali, kuna uwezekano tukawa na timu mbili Ligi ya Mabingwa Afrika na Ligi ya African Football mwakani.

  5. Serikali kuongeza kasi kuwafikia wanaotaka kujifunza Kiswahili duniani

    Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema ameamua kutembelea Baraza la Kiswahili la Taifa (Bakita) ili wajadaliane na kuongeza kasi ili kuwafikia watu wengi zaidi.

  6. Mmarekani aeleza ugumu kujifunza Kiswahili akisema ‘choo’ badala ya ‘chuo’

    Mwanafunzi wa Marekani kutoka Jimbo la Calfonia, Christa Andeson amewaacha washiriki wa Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili lililofanyika ubalozi wa Marekani nchini Dar es Salaam...

  7. Ubalozi wa Marekani kuadhimisha siku ya Kiswahili Duniani Dar

    Mgeni maalumu katika maadhimisho hayo anatarajiwa kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Taifa (Bakita), Consolata Mushi.

  8. Rais Samia apongezwa kukipaisha Kiswahili kimataifa

    Wizara ya Michezo, Sanaa na Utamaduni, imepongeza juhudi zinazoonyeshwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika maendeleo ya lugha ya Kiswahili ndani na nje ya nchi.

  9. Mwanamke ajifungua akiwa amefunikwa na kifusi

    Kikosi cha uokoaji kilifanikiwa kumnasua mtoto huyo jana Jumanne Februari 07, 2023 kisha kumuwahishwa Hospitali katika mji wa Afrin nchini Syria.

  10. Waziri Mkuu Majaliwa aagiza vifungashio bidhaa kuandikwa Kiswahili

    Serikali imeagiza kampuni zote zinazozalisha bidhaa hapa nchini kuhakikisha vifungashio vyake vinakuwa na maelezo kwa lugha ya Kiswahili pamoja na bidhaa zote zinazoingia nchini.

Page 1 of 3

Next